Undapo utaona dalili hizi kwa mwezi wako wa kiume basi tambua fika basi, ya kwamba anMapenzi ya kweli.
1. Anakusaidia fedha pale unapokua umekwama kabisa, yuko na
jukumu la kukusaidia kiuchumi.
Anapenda kukupa kile ambacho amejaaliwa
nacho. Hana mkono wa birika, Huyu anakupenda!
2. Anazungumzia future yake na wewe, mipango ya baadae
pamoja na wewe, huyu anayo dhamira ya dhati ku Anakupigia simu mara kwa
mara na kukuuliza siku yako imeendaje. Anafanya hivi kirafiki na kwa
upendo, haigizi. Anakupenda kweli.
3. Anakutembelea mara kwa mara, anakuwa karibu na wewe
kipindi unaumwa, hii inamaanisha kwamba yupo tayari kukuvumilia katika
shida na raha. Mpende mwanaume huyu.
4. Anawapenda ndugu zako kama ndugu zake. Anaongea nao
vizuri na kusaidiana mambo ya hapa na pale. Mtizame kwa jicho la tatu
huyu mwanaume!
5. Anaongea na wewe kwa adabu na kwa upole, anakukosoa bila
wasiwasi kama kuna mambo unaenenda visivyo. Anakuelekeza njia
zilizonyoka..sio wa kumuacha huyu!
Tags:
mahusiano
