VIDEO: Rekodi za Kipekee za Marehemu Ndesamburo na Dk Slaa katika historia ya siasa -Lissu

Mwanasheria Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Tundu Lissu alipohojiwa na Muungwana kuhusu mcahngo wa Marehemu Philemon Ndasamburo alijibu haya.

hata hivyo alimtaja Dk Wilboard Slaa kuwa kwenye Rekodi hizo za kipekee walizoweka na Mzee Ndesamburo kipindi cha upinzani.


 TAZAMA VIDEO HII SHARE NA SUBSRIBE MUUNGWANA TV.


Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items