Zaidi ya wapiganaji 40 wa kundi la PYD wafariki katika mashambulizi yalioendeshwa na jeshi la Marekani Raqqa
Jeshi la Marekani limeendesha mashambulizi Raqqa na kupeleke vifo vya zaidi ya wapiganaji 40 wa kundi la PYD.
Ngome za wapiganaji wa kundi hilo zilishambuliwa kikosi wa ushirika kinachoongozwa na jeshi la Marekani.
Kundi la PYD ni kundi ambalo linatambulika kama tawi la kundi la kigaidi la PKK.
Taarifa zilizotolewa zilifahamisha kuwa ndege za kivita zilishambulia kitongoji cha Aqrish, kitongoji ambacho wanamgambo wa kundi hilo walikuwa wamekalia.
Zaidi ya wanamgambo 40 wa kundi hilo wameuawa na wengine kadhaa kujeruhiwa katika mashambulizi hayo.
Taarifa nyingine inafahamisha kuwa mapigano makali baina ya Daesh na PKK yalizuka katika eneo la Raqqa.
Raia 23 wameripotiwa pia kufariki katika muda wa masaa 48 na wengine 46 kujeruhiwa.