Watu wanane wafariki na wengine zaidi ya 30 kujeruhiwa katika shambulizi la bomu la kurusha kwa mkono mkoani Kayanza nchini Burundi
Msemaji wa jesh la Polisi nchini Burundi Pierre Nkurikiye amefahamisha kuwa watu wanane wamefariki na wengine zaidi ya 30 kujeruhiwa katika shambulizi lililotekelezwa kwa bomu la kurushwa kwa mkono Kaskazini mwa Burundi.
Shamulizi hilo limetekelezwa Jumapili majira ya jioni.