NEC Yateua wabunge 8 wa viti maalum kupitia Chama cha Wananchi Cuf

Tume ya Uchaguzi (NEC) imefanya uteuzi wa wabunge nane wa viti Maalum kupitia (CUF) baada ya Tume hiyo kupokea barua kutoka kwa spika wa Bunge Ndugai ambaye alisema kuna nafasi za wazi nane katika bunge hilo kufuatia wabunge hao kuvuliwa uanachama.