Taarifa kuhusu kifo cha Seth Bikira wa Kisukuma


Taarifa za Awali kuhusu Msiba wa Mtangazaji wa EFM Seth Katende ( Bikra Kisukuma) kuwa mwili wa marehemu umepelekwa nyumbani kwa baba yake mzazi, Changanyikeni kwa ajili ya taratibu za mazishi.
Seth amefariki Dunia leo katika Hospitali Taifa ya Muhimbili baada ya kuugua kwa muda mchache


Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items