VIDEO: Hali ya Wema si shwari, atinga mahakamani anachechemea


Hali ya msanii Wema imeonekana kuwa sio nzuri wakati alipowasili katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwenye kesi ya kukutwa na dawa za kulevya inayomkabili, hata hivyo Mama yake baada ya kuona anachechemea alimuuliza kama anaumwa na Wema alimjibu mama yake "Nasikia Kizunguzungu"


TAZAMA FULL VIDEO HAPO CHINI


Kesi hiyo imeahirishwa leo mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Godfrey Mwambapa baada ya Wakili wa serikali, Estezia Wilson baada ya kusema Hakimu anayesikiliza kesi hiyo hayupo, hivyo anaomba iahirishwe.

Hakimu Mwambapa aliahirisha kesi hiyo hadi Agosti 1, mwaka huu kwa ajili ya kuanza kusikilizwa.


Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items