VIDEO: Lipumba amchimba mkwara wa 'Ngumi' Lowassa, Sumaye, Seif na Kubenea

Ukiwa bado ni muendelezo wa sinema za siasa hususani katika chama cha Cuf, leo amesikika Prof Lipumba akijibu mapigo ya akina Kubenea wa CHADEMA ikiwa ni siku kadhaa baada ya kuzindua kile wanachokiita 'Opersheni Ondoa Msaliti Buguruni', Basi Lipumba amemjibu Mbunge kubenea isingekuwa utaratibu wa kufuata sheria basi angewaita Ulingoni Kubenea, Sumaye, Lowassa na Maalim Seif halafu akawaonesha cha mtema kuni"

Kwa taarifa zisizo rasmi, Inasemekana Prof Lipumba ana Mkanda mweusi wa Bondia "Black Belt"

TAZAMA FULL VIDEO HAPO CHINI