Msikiti mmmoja katika jimbo la Minnesota nchini Marekani limeshambuliwa kwa bomu majira ya asubuhi ya siku ya Jumamosi wakati waumini walikuwa wanatekeleza sala ya asubuhi.
Taarifa kutoka kwa polisi wa jimbo hilo ilifahamisha kwamba moto uliozuka kufuatia bomu hilo uliharibu ofisi ya Imamu wa mskiti huo unaotambulika kama Dar Al Farooq Islamic Center.
Waumini wa kiislamu waliokuwa lkatika eneo la tukio waliweza kuzima moto huo kabla ya waziama moto kuwasili.
Hamna mtu aliyefariki wala kujeruhiwa katika shambulizi hilo.
Baraza la uislamu na ushirikiano la Marekani (CAIR) limetangaza zawadi ya takribaan dola 10,000 kwa mtu yeyote atakayetoa taarifa kuhusu mshambuliaji wa msikiti huo .