Vitisho na mashambulizi dhidi ya wahamiaji vyazidi kuonegezeka nchini Ujerumani

Vitisho na mashambulizi dhidi ya wahamiaji vyazidi kuonegezeka nchini Ujerumani

Mashambulizi dhidi ya wahamiaji yaongezeka nchini Ujerumani  katika kipindi cha miezi mitatu ya mwanzo ya mwaka 2017.

Taaraifa zinaarifu kuwa zaidi ya matukio ya 100 yameripotiwa nchini Ujerumani.

Kituo cha habari cha DPA kimenukuu wizara ya mambo ya ndani ya Ujerumani wakati wa maswali na majibu katika baraza la bunge kuwa katika miezi mitatu ya mwanzo ya mwaka 2017 zaidi ya  matukio 318 ya chuki dhidi ya wahamiaji yameripotiwa nchini humo.

Mbunge mmoja wa mlengo wa kushoto  Ulla Jelpke amesema kuwa wahamiaji hushambuliwa mara kwa mara na wafuasi wa kinazi.
Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items