Upelelezi wa Kesi ya Vigogo wa Simba umekamilika

Upelelezi kesi ya Rais wa Klabu ya Simba Evans Aveva na wenzake umekamilika na jalada limepelekwa kwa DPP. Kesi imeairishwa hadi Septemba 27.

Vigogo hao wa Simba SC, Evans Aveva na Makamu wake, Geofrey Nyange maarufu Kaburu wanakabiliwa na mashtaka ya kughushi nyaraka na utakatishaji fedha zaidi ya shilingi milioni 650.
Mpya zaidi Nzee zaidi