Waziri wa mambo ya nje wa Italia Angelino Alfano amezungumza kuhusu kura ya maoni ya Catalonia.
Waziri huyo amesema kuwa Catalonia haipaswi kujitenga na Uhispania bila serikali hizo mbili kukubaliana.
Kwa mujibu wa habari,waziri Angelino Alfano amesema kuwa ni jambo ambalo halikubaliki kwa Catalonia kujichukulia maamuzi ya peke yake ya kujitenga na Uhispania.
Siku kadhaa zilizopita,Catalonia ilipiga kura ya maoni ya kutaka kujitenga na Uhispania.
Hata hivyo serikali ya Uhispania inaamini kura hiyo ni kinyume cha sheria na katiba.