Moise Katumbi , mpinzani wa serikali ya Kinshasa amefahamisha kuwa anataraji kurejea Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo ifikapo Disemba mwaka 2017.
Katumbi amesema kuwa anataraji kurejea nchini kabla ya Disemba 31 wakati ambapo uchaguzi unatarajiwa kufanyika akama ilivyosainiwa katika mkataba.
Akiwa muarifiwa katika mkutano ulioandaliwa kwa ajli ya Afrika na Financial Times mjini London, Moise Katumbi alisema kuwa rais Kabila ana wasiwasi nae Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.
Mkutano huo ulifanyika Jumatatu na taarifa hiyo kutolewa Jumanne katika tovuti rasmi ya shirika hilo.
Moise Katumbi amesema kuwa atarejea nchini wakati ambapo utawala wa Kabila na muhula wake utafika kikomo.
Moise Katumbi alikuwa gavana wa jimbo la Katanga na mshirika wa rais Joseph Kabila kabla ya kujÅŸunga na upinzani Septemba mwaka 2015 akikemea hatua ya Kabila kutaka kuvunja katiba na kugombea kiti cha urais kwa muhula wa tatu.