Treni ya kwanza ya mwendo kasi kati ya Ethiopia na Djibouti yazinduliwa rasmi

Kwa mujibu wa afisi kutoka serekali ya Djibouti ,treni ya kwanza ya mwendo kasi kati ya Ethiopia na Djibouti yazinduliwa rasmi Jumapili.

Waziri wa Mawasiliano wa Djibouti, Abdi Youssouf Sougueh, asema katika mahojiano kwa njia ya simu na waandishi wahabari wa Anadolu kuwa treni ilizinduliwa Jumapili na mawaziri saba kutoka nchi zote mbili ikiwa ni pamoja na waziri wa usafiri na bandari.

Ethiopia na Djibuti, pamoja na ushirikiano wa Togo, walizindua mwezi Oktoba 2016, njia ya reli yenye urefu wa kilomita 700, inaounganisha Ethiopia na Djibuti. Mradi huo inakadiriwa kuchukua dhamani ya dola bilioni 4 na uligaramiwa na makampuni mawili ya Uchina.
Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items