Real Madrid yamtaka Neymar

Real Madrid inaonekana haitanii kuhusiana na Neymar na tayari imetenga kitita cha euro milioni 200.

Taarifa zimeeleza, Madrid imepanga kumsainisha Neymar ikimshukua kutoka PSG ya Ufaransa.

Neymar amejiunga na PSG akitokea Bacelona na alisajiliwa kwa dau la pauni milioni 198.

Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items