Yanga kuanza mazoezi ya gym kesho

Kikosi cha mabingwa watetezi Ligi Kuu Bara, Yanga kesho kinarejea mazoezi ya gym.

Yanga watafanya mazoezi ya gym wakiwa wanarejea mazoezini baada ya mapumziko ya siku mbili.

Kikosi cha Yanga kilipumzishwa Jumamosi na leo Jumapili na kesho kama kawa.

Kwa mujibu wa maelezo, keshokutwa watarejea tena na mazoezi ya uwanjani
Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items