Maradona na Pele walivyokutana jana nchini Urusi

Magwiji wa soka, Diego Maradona wa Argentina na Pele wa Brazil wakifurahia pamoja wakati wa droo ya upangaji wa ratiba na makundi ya Kombe la Dunia jana mjini Moscow, Urusi. Kwa muda wanasoka hao wamekuwa na upinzani mkali tangu wanacheza, lakini siku za karibuni wameanza kuelewana na kufurahi pamoja
Mpya zaidi Nzee zaidi