Pemba Kombaini yatamba kuifunga Zanzibar Heroes

Baada ya kujizolea umaarufu kwa muda mfupi timu ya Zanzibar Heroes hii leo watashuka dimbani na kucheza na Pemba Kombaini katika mchezo wa kirafiki wa kuikaribisha timu ya Taifa ya Zanzibar Heroes kisiwani pemba kama Mheshimiwa Rais wa Zanzibar alivyoagiza.

Hata hivyo Meneja wa timu ya Pemba kombaini Steven Kapufi ametamba nakusema wataifunga timu ya Zanzibar Heroes kwani wao wamejipamga vizuri sana,

Timu hizo mbili zitashuka dimbali leo saa 10 jioni katika uwanja wa Gombani visiwani pemba.




Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items