Wenger; Mourinho acha kulilia kuhusu gharama za usajili

Jose Mourinho wa Man­chester United.

KOCHA wa Arsenal, Ar­sene Wenger amesema Jose Mourinho wa Man­chester United anatakiwa kupambana na hali yake na kuacha kulialia kuhusu ghar­ama za usajili uliofanywa na Manchester City.

Mara baada ya sare ya ma­bao 2-2 dhidi ya Burnley, Mourinho alisema kiasi cha pauni milioni 300 alichotumia kusajili tangu msimu uliopita hakitoshi kupambana na Man City kwa kuwa wao wametu­mia zaidi ya pauni milioni 360 kusajili.

Akizungumzia sual hilo, Wenger ambaye mara kad­haa amewahi kukwaruzana na Mourinho, amesema kupambana na timu zinazotumia gharama kubwa kusajili ni jambo la kawaida kwake na hata Mourinho anatakiwa kuzoea.

Ar­sene Wenger

Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items