VIDEO: Jeshi la Polisi lafunguka upelezi Sakata la LISSU

Swala Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu limeibuka leo katika mkutano wa jeshi la Polisi na waandishi wa habari katika makao makuu ya jeshi hilo, ambapo Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai  (DCI) CP, Robert Boaz amesema kuwa swala hilo linaendelea na upelelezi hivyo hamna sababu ya kueleza kila hatua za upelelezi  linalofanya Jeshi hilo.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI........USISAHAU KUSUBSCRIBE 

Mpya zaidi Nzee zaidi