Benki ya Maendeleo ya Afrika yavunja rikodi kwa kuwekeza kiwango cha dola bilioni 7,67.
Benki ya Maendeleo ya Afrika yaonesha mabadiliko makubwa katika uwekezaji katika sekta tofauti kama sekta ya nishati, ukulima na viwanda.
Mwaka 2017 Benki ya Maendeleo ya Afrika iliwekeza kiwango cha dola bilioni 7,67. Mkurugenzi wa Benki hiyo Akinwumi Adesina mjini Abidjan amesema kuwa kiwango hicho ni kiwango kikubwa katika historia.
Mkurugenzi huyo aliyazungumza katika mkutano ambao uliandaliwa kuhusu maendeleo na atua ya benki ambayo imekwisha fikiwa.