Mashua mbili za abiria zimezama na kusababisha vifo vya watu sita nchini Nigeria.
Kituo cha habari cha Nigeria NAN kimeripoti kuwa mashau hizo zilikuwa zimebeba watu 78 katika jimbo la Kebbe.
Mpaka sasa ni abiria 60 wameokolewa salama huku wengine 12 wakiwa hawajulikani walipo.
Gavana mkuu wa Kebbe,Abubakar Dakingari amesema kuwa ajali hiyo imetokana na ubebaji wa abiria na bidhaa kuzidi uwezo wa mashua hizo.
Jitihada za kuwatafuta watu hao zinaendelea.