Nyumbani IGP Siro, Muliro wafika kwenye msiba wa Akwilina byMuungwana Blog 2 -2/18/2018 07:00:00 PM 0 Leo February 18, 2018 Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro pamoja na Kamanda wa Kinondoni Muliro Jumanne wamefika Msibani kwa mwanafunzi Akwilina, Mbezi mwisho katika Wilaya ya Ubungo kwa ajili ya kuwapa pole wafiwa. Facebook Twitter