Jeshi la Israel limeshambulia ndege ya Iran isiyokuwa na rubani iliyorushwa kutoka Syria.
Kwa mujibu wa habar,ndege ya Iran ya UAV iliingia katika anga za Israel kutoka Syria majira ya Jumamosi asubuhi na kushambuliwa na jeshi la anga la Israel.
Baada ya shambulizi hilo,jeshi la anga la Israel IDF limeanza kushambulia ngome zote za Iran zilizo nchini Syra.
Wakati wa shambulizi hilo mmoja wa rubani katika ndege za Israel alijirusha na kupelekwa hospiatalini.
Hakuna tamko lolote lililotolewa na mamlaka ya Iran kuhusu suala hilo.