Shughuli za kupambana na theluji zinaendela mjini kote Chcago kwa kumwaga chumvi na kuondoa theluji mabarabarani kwa kutumia matrekta.
Uongozi wa Chicago umetoa tangazo kwa wakaazi wake kusalia katika majumba yao kutokana na upepu mkali wa baridi unaotokea kabla ya theluji.
Shule, vituo vya biashara vimefugwa na kuathiri shughuli za uchukuzi kote Chicago.
Safari za ndege zaidi ya 1 400 zimeairishwa.