Watu 9 wameripotiwa kufariki katika mashambulizi ya anga ya jeshi la Assad yaliotekeliezwa Ghuta-Mashariki nchini Syria.
Vikalsi vya uokozi vinaendelea na shughuli za uokozi na kusema kuwa huenda idadi ya wahanga katika mashambulizi hayo yakaongezeka.
Kwa muda wa siku 43 watu 533 wameripotiwa kufariki na wengine 2000 kujeruhiwa katika masahmbulzi yalioendshwa Ghuta-Mashariki.
Raia 400 000 wanapatikana katika la Ghuta ambalo lipo chini ya uongozi wa upinzani.