VIDEO: CHADEMA Kuiburuza Mahakamani Serikali Ya Magufuli


Naibu Katibu mkuu wa chama cha demekrasia na maendeleo (CHADEMA) Mh. John Mnyika, Mesema wataiburuza serikali ya Rais Magufuli kutokana na jeshi la polisi kuwashikilia wananchi,40 wakiwemo wanafunzi na mwanamke anaenyonyesha.

Vile vilekulitaka jeshi la polisi  kutoa orodha ya majina ya wananchi walioshikiliwa na wafikishwe mahakamani kwaajili ya dhamana, amesisitiza kuwa kama jeshi hilo la polisi halitafanya hivyo wao kama chadema wataliburuza mahakamani jeshi hilo pamoja na serikali ya rais magufuli.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI..............USISAHAU KUSUBSCRIBE..............

Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items