VIDEO: ''Huyu Nae Hatufai" Makonda

''Ole wake nimuone mtumishi wa idara atakae niambia ameshindwa kutekeleza mpango wake wa 2017/2018 wakati kwenye fungu la bajeti fedha ilitengwa, maana yake huyu hajawahi kugonga mlango wa bosi wake yeyote kudai ile pesa, HUYU NAE HATUFAI'' Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.....USISAHAU KUSUBSCRIBE

Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items