VIDEO: Lowasa, Mashinji waongoza mamia kumuaga Tambwe

Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, Dk Vicent Mashinji pamoja na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama hicho, Edward Lowasa wameongoza mamia ya waombolezaji kuuaga mwili wa Mwanasiasa Mkongwe na kada wa chama hicho, Richard Tambwe Hizza katika ibada iliyofanyika nyumbani kwake Mbagala Kizuiani na kisha kufuatiwa na maziko katika makaburi ya Chang'ombe Mnudini, Temeke.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI...USISAHAU KUSUBSCRIBE
Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items