"Itafika mahala watu wa benki watamuona mkuu wa Mkoa hawapi ushirikiano lakini nirudie mbele ya hadhara hii, Sitaipa ushirikiano benki yoyote ile kuuza nyumba ya mwananchi wa Mkoa wa Dar es salaam bila kufuata utaratibu na sheria zilizowekwa" Mkuu wa Mkoa Dar es salaam Paul Makonda
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE
