VIDEO: Mtulia Apiga Kura, Ajihakikishia ushindi

Mgombea wa Ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM, Maulid Mtulia amepiga kura asubuhi katika uchaguzi mdogo jimbo la Kinondoni, Mtulia amesema atakubaliana na matokeo yatakayotangazwa na kama kutakua na uvunjwaji wa sheria basi Chama chake kitachukua hatua katika ngazi zinazopaswa.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI........USISAHAU KUSUBSCRIBE

Mpya zaidi Nzee zaidi