VIDEO: "Nipo tayari kuitwa mhalifu wa aina yoyote" Mgombea Ubunge CHADEMA
byMuungwana Blog 1-
0
Mgombea Ubunge jimbo Kinondoni kupitia CHADEMA Salum Mwalimu amesema kutokana na kitendo kinachoendelea cha mchezo mchafu unaoendelea katika vituo vya kupigia kura yupo tayari kuitwa mhalifu wa aina yoyote ile.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI...... USISAHAU KUSUBSCRIBE