Kibwana Shomary Mkataba miaka miwili ndani Mtibwa Sugar

Uongozi wa klabu ya Mtibwa Sugar umetangaza kuingia kandarasi ya mkataba wa miaka miwili na beki kinda, Kibwana Shomary, wa miaka miwili.

Shomary amesaini na Mtibwa akiwa ni mmoja wa wachezaji walio katika kikosi cha Timu ya Taifa ya Vijana chini ya miaka ishirini, Ngorongoro Heroes.
Mpya zaidi Nzee zaidi