VIDEO: Mjadala kuhusu wanawake waliotelekezwa wachukua sura mpya Dar

Tatizo haliko kwa watoto tatizo lipo kwenye familia, tukiamua kuiongezea sheria nguvu ikawa kali kwa mtu anampa mimba mwanamke tutapunguza tatizo. hawa wa mtaani hawajajileta duniani kuna watu waliowalete, tukiua kwenye wazalishaji wa watuwanaozalisha watu kuwatelekeza - RC Makonda

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI..............USISAHAU KUSUBSCRIBE......................

Mpya zaidi Nzee zaidi