4/16/2018

Rais Putin akutana rais wa Iran kujadili kuhusu Syria

Rais Putin azungumza na rais wa Iran Hasan Ruhani kuhusu Syria

Rais wa Urusi Vladimir Putin  azungumza kwa njia ya simu na rais wa Iran Hassan Ruhani kuhusu mashambulizi ya anga yalioendeshwa na jeshi la Marekani na washirika wake  nchini Syria.

Taarifa zilizotolewa na baraza la bunge  la Urusi limefahamisha kuwa iwapo mashambulizi yataendelea nchini Syria  basi athariza zitaathiri ukanda mzima.