Uongozi wa Muungwana Blog, unawatakia kheri na amani waislamu wote nchini na nje ya nchi katika kusherehekea Eid Fitry
Mkurugenzi Mkuu wa Muungwana Blog Rashid Malik kwa niaba ya wafanyakazi wote wa Muungwana Blog/Tv, anawasihi Watanzania wote kutumia siku hii kwa kushereheka na sio kuhatarisha amani kwa kufanya matendo mauvu yenye kuhatarisha amani na yenye kumuudhi mwenyezi Mungu.

Eid Mubarack