7/11/2018

VIDEO: Wasanii wapata suluhisho, Vanesa Mdee, Jux, Joh Makini wapigwa Mkataba


Zile zama za wasanii kuibiwa kazi zao zimeishi baada ya kupata mbadala ambapo Boom play imekuwa suluhisho baada ya kuonesha mafanikio kwa baadhi ya wasanii ambao wanatumia kuuza kazi zao.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI......USISAHAU KUSUBSCRIBE