8/10/2018

EXCLUSIVE: Kuondoka kwa Mzee Majuto tasnia imetetereka, tutajitahidi - Monalisa (+VIDEO)


Muigizaji wa kike wa filamu Bongo ambaye anatajwa kuwa bora kwa muda wote, Monalisa, amefunguka kuwa kufariki kwa Mzee Majuto ni pigo kwao na tasnia imetetereka lakini watajitahidi kwa kuwa wamekuwa wakiachia filamu nyingi japo cheche ndio nzuri.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE