VIDEO: ACT yaivaa CCM, 'Ingekuwa Barua ningesema hivi' - ADO SHAIBU


Katibu Kamati ya Uenezi na Mawasiliano ya Umma chama cha ACT, Ado Shaibu amemvaa katibu mkuu wa chama cha mapinduzi Dk. Bashiru Ally kutokana na mkutano ambao walioufanya na waandishi wa habari kwa kile kilichosemekana kuwa Katibu huyo kushindwa kujibu swali mwandishi wa habari na kudai kuwa mwanazuoni haojiwi.


TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI..............USISAHAU KUSUBSCRIBE...............