8/10/2018

VIDEO: Mabingwa waliobeba bendera yaTanzania waahidi kufanya maangamizi


Zaidi ya wanafunzi 200 kutoka nchi mbalimbali barani Afrika wamekutana nchini Tanzania kwa ajili ya kushiriki katika mashindano ya mdahalo 'Mwalimu Nyerere' ambapo mabingwa walioiwakilisha Tanzania nao kushiriki

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI......USISAHU KUSUBSCRIBE