VIDEO: Makonda aahidi kuwafunga Lulu, Majay, Lemutuz na Meya


Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, ameeleza kuwa atawafunga Lulu, Majay, Lemutuz na Meya kama wasipofunga ndoa mwaka huu. Mhe Makonda amedokeza kuwa mipango ya ndoa ya  Lulu na Majay inaendelea vizuri.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE