SoudyBrown Amesomewa Shtaka Hili...Arudishwa Ndani

SoudyBrown amesomewa shtaka moja la kuweka maudhui mtandaoni bila kuwa na kibali.
Dhamana ya kosa hilo iko wazi lakini anadaiwa bado anashikiliwa na jeshi la polisi kwa kuwa ana kesi nyingine ya kujibu.

Hakimu anayeisikiliza kesi hiyo Augustine Rwizile ameghailisha kesi hiyo hadi 18 October 2018.