VIDEO: Manara aeleza A-Z sakata la Masoud Djuma kuondoka Simba, "Nimetukanwa matusi elfu kumi"


Msemaji wa klabu ya soka ya Simba SC, Haji manara amefunguka kila kitu khusu sakata la kocha wao msaidizi Masod Djuma kuondoka kwenye timu hiyo kutokana na kuachwa kwenye msafara wa kwenda mkoani Mwanza.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE