Na. Francis Michael,
Mwenyekiti wa chama cha demekrasia na maendeleo chadema Mh. Freeman Mbowe amecharukia kitendo cha mkuu wa mkoa wa Dar es salaam mh Paul makonda Kufanya sherehe na askari polisi baada ya uchaguzi kuisha.
Katika hali hiyo mbowe amekemea vikali kitendo hiko na kudai kuwa anapaswa kufukuzwa kazi kutokana na kitendo kile, amenena hayo mbowe kwenye mkutano na wanahabari uliofanyika leo katika ofisi za makao mkuu ya chama hiko.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.......USISAHAU KUSUBSCRIBE.......
