VIDEO: BREAKING NEWS: Chadema wasusia uchaguzi, Mbowe anena mambo mazito



Chama cha demokrasia na maendeleo chadema kupitia mwenyekiti wa chama hiko Mh.  Freeman Mbowe wametangaza kususia chaguzi zinazoendelea na zitakazoendele kufuatia kuwapo kwa lile linalosemekana kiwa kuna nguvu za dola kutumika katika chaguzi.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI......USISAHAU KUSUBSCRIBE.........

Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items