VIDEO: Mbowe Avujisha Siri ya Uchaguzi Ukonga, aanika makaratasi yote


Baada ya uchaguzi mdogo wa katika jimbo la ukonga na Monduli kuisha ambapo chama cha mapinduzi kimeibuka kidedea kwa ushindi dhidi ya Chama cha demokrasia na maendeleao chadema, mwenyekiti wa chama hiko cha chadema mh. Freeman mbowe amejia juu ushindi huo na kuja na fomu zilizoonyesha hali halisi ya wananchi walifikia kupiga kura katika vitu na pia amedai ni tofauti na ilivyo tangazwa.


TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.....USISAHAU KUSUBSCRIBE..........

Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items