VIDEO: Hiki ndicho kilichowaunganisha Halima Mdee, Mtulia na Meya Kinondoni


Leo Septemba 19 Baraza la Madiwani Manispaa ya Kinondoni jijini Dar es salaam limekutana na kujadili maada mbalimbali ambapo zimeibuka changamoto zilisababisha Mbunge wa Kawe, Halima Mdee na wa Kinondoni, Maulid Mtulia kuungana ili kuhakikisha wananchi wanapata maendeleo  bora.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI......USISAHAU KUSUBSCRIBE