VIDEO: Mdee auwasha moto baraza la Madiwani amshukia Hapi "alikuwa anarukaruka"


Mbunge wa Kawe, Halima Mdee leo Septemba 19 ameuwasha moto kwenye kikao cha baraza la madiwani Manispaa ya Kinondoni ambapo amemuomba Meya wa manispaa hiyo kupokea ushauri na ombi la madiwani la kuwataka watendaji wa serikali kujua mipaka ya majukumu na kazi zao huku akitolea mfano aliyekuwa Mkuu wa Wilaya hiyo Ally Hapi kauli alizokuwa anazitoa.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.......USISAHAU KUSUBSCRIBE