VIDEO: "Nilipata shida kidogo, japo nilitumwa na Mama Samia" Waziri Makamba


Tangu niko mdogo kabisa ametulea, ametufundisha na pia ni kiongozi wa kifamilia hivyo nilipata shida kidogo nilipoalikwa kuja hapa niwe mgeni rasmi na Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakar Bin Zuber anipokee.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI......USISAHAU KUSUBSCRIBE

Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items