Mahakama Kuu Kanda ya Iringa imetupilia mbali mapingamizi ya Wakili wa Serikali yaliyokuwa yanapinga Mahakama hiyo kusikiliza maombi ya kuondolewa amri ya Mamlaka ya Udhibiti wa Mawasiliano Tanzania (TCRA) inayozitaka baadhi ya kampuni zilizokuwa zikionyesha chaneli za ndani kuondolewa kwenye ving'amuzi vyao.